Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Hatuogopi hatulegei

Hatuogopi hatulegei

Shetani kama simba anavyotutishia

Shetani kama simba anavyotutishia

Hatuogopi hatulegei

Hatuogopi hatulegei


Pamoja na Bwana Yesu tutashinda

Ulimwengu huu wa shida tutashinda na Bwana

Japo mengi yanakatisha tamaa tutashinda na Bwana

Pamoja na Bwana Yesu tutashinda

Ulimwengu huu wa shida tutashinda na Bwana

Japo mengi yanakatisha tamaa tutashinda na Bwana


Hata shetani ajipange ajipange ajipange

Hatutaogopa tunao ujasiri tunao ujasiri

Hata shetani ajipange ajipange ajipange

Hatutaogopa tunao ujasiri tunao ujasiri


Tupo Pamoja na Bwana

Pamoja na Bwana

Tunahakika ya kufika

Pamoja na Bwana

Tupo Pamoja na Bwana

Pamoja na Bwana

Tunahakika ya kushinda

Pamoja na Bwana


Tunashinda

Zaidi ya kushinda Kwake Yesu aliyetupenda

Hakika tunashinda

Tunaweza katika yeye Atutiaye Nguvu

Hakika tunaweza

Tunashinda

Zaidi ya kushinda Kwake Yesu aliyetupenda

Hakika tunashinda

Tunaweza katika yeye Atutiaye Nguvu

Hakika tunaweza


Tumekubali kwenda naye Bwana Yesu

Tuko tayari tumemkubali Bwana Yesu

Tuko tayari kuanza naye kumaliza naye


Tupo Pamoja na Bwana

Tupo pamoja na Bwana

Tunahakika

Tunahakika ya kufika

Pamoja na Bwana

Tupo Pamoja na Bwana

Pamoja na Bwana

Tunahakika

Tunahakika ya kushinda

Pamoja na Bwana

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status