Njoo Na Mi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kiukweli umenikaa moyoni
Sijui kama mchana ama jioni
Nina siku nyingi sijatoka ndani
Ndani
Dali wamo
Mi nataka unipe uthando
Tuyaachane vya kando kando
Let me show you what I can do
Njoo na mi, muda wote Nahitaji uwe close to me
Hisia zinabadilika kuwa memories
Nataka tuwe kama what we used to be
We used to be baby
Iwe baridi utanipa joto mami
Maisha ya solo dolo mi siwezi mami
Mi nataka kuwa nawe
Kuwa na wewe tuu
Dali wamo,
Mi nataka unipe uthando
Tuyaachane na makando kando
Let me show you what I can do
Njoo na mi, muda wote Nahitaji uwe close to me
Hisia zinabadilika kuwa memories
Nataka tuwe kama what we used to be
We used to be baby