Nakupenda Mama (feat. Gwiji the Boy & Bruze eight seven) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
aaahhh ahhhhh eeeiiiiyee
hauwaa uwa uwaaa uwaaa
(gwiji the Band)
(oh) mama (ah) (oh) mamaa
bruez_eight_seven
mama mama (ahh)
(Gwiji the boy)
nakupenda sana mama (ehh)
(oh) mama (ahh) (ahhh) (ahh)
(aiyeyeyee) mama (oh)
Sina budi moyon Bali kukuimbia mama (eh)
(ah) wengine mi sioni kwako nakimbilia mama (eh)
(ah) vile viboko maneno kumbe ulitaka niwe Bora
(ah) sababu ya upendo ona sasa Mimi nakuimbia
kweli usiku hulali kisa maana mm nilale (ehh)
magonjwa fulani yalifanya ulie ukonde (eeh)
vibao ukanyage kisa maana mm niruke (eeh)
mama maden uitwe chanzo ulitaka mm niwe sawa
Ni wengi walitupwa kuuliwa na kukàtaliwa hadharani (eeh)
chanzo Ni shida na ukosefu wa upendo jamani
kwani mi nisikukute sa mama yangu unitupe (ehh)
Asante kwa kunipenda miaka mingi Mola akupe (eeh)
Nilikukomoa mikwanja sanja ningepataje (eeh)
niliishi kunona Kama ngoima mpishi n wewe (eeh)
nikupe nn moyo wangu mama utulie (eeh)
yanataririka machozi napokwona wahangaika juu yangu mama (ohh) mama
Nakupenda Sana Mama (eeh)
Nakupenda Sana Mama (eeh)
Nakupenda sana Mama (eeh)
Nakupenda sana Mama (eeh)
(bruez_eight_seven)
Mum Nafoyo Mareba respect yangu unadeserve Mukama wangu wa pili kufika hapa ni juu yako maa sioni cha kukulipa ila pokea zangu Shukuran thamani yako hailinganishwi na chochote juu yangu ulifight niwe eight seven Asante maa kwa kutabiri nyota yangu Nafoyo Mareba
Bruez Eight Seven
MLUHYA WA BUSIA raaaaaa!!!!!!!
(Rayanti_jr)
nakukumbuka mamaa nakupenda sana
akuzidishie Maulana uishi kwa amani
Nikikumbuka pale ulikonitoa nabubujika na chozi la furaha
Nakumbuka hamasiho la elimu mwanagu soma
kutuandalia Yale yalo mema
(ah) Nakumbuka hamasiho la elimu mwanagu soma ujenge jumba kubwa
Mwanangu soma ununue gari unibebee
Mwanangu soma maisha ni magumu
Cha msingi mweke Mola mbele
usiskize Yale ya binadamu
mtumaini Mungu na yote yatatendeka
ona Sasa mama tumekuja sisi gwiji
tumewaletea wimbo wa shukurani
asaante asaante asaantehh
Nakupenda Sana Mama (eeh)
Nakupenda Sana Mama (eeh)
Nakupenda sana Mama (eeh)
Nakupenda sana Mama (eeh)
(aaaaah) cheza we (aaahh) kama unampenda mama
(aaaaaah) cheza we (aaahh) Kama unapenda mama
salamu zkmfikie mamangu mzazi
Love you Mama ️
nakupenda sana ️