KWIKWI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
KWIKWI - Dogo Charlie
...
Dog charlie
marangwe nikikupea unakataa
sukuma nikikupea unatapika
cabbage nikupea unakataa
unakunywa uji tu
wewe nimngonjwa
siukule kitu misipendangi kukuona ukingonjeka
usipokula babe utakufa
na uache utani usijaribu kutapika awe mama
kwikwikwi nitalia
kwikwikwi ukiachakukula * 2
ungali Badoo am cooking for you
ungali Badoo nakupikia *2
marangwe nikikupea unatapika
sukuma nikikupea unakataa
cabbage nikikupea unakataa*2 (nahii njaa yote )
uji tu supu tu*2
tena utakikula ungali
na vile umeililia sitaki vita kula ungali
nguvu itakupati
ukizoesha mwili uji haja itakukaza ww
ukikojoa kitandani nitakuchapa sitakusamehe
kwanini unatapika tapika
unatapika tapika
umetapika( nikitu kimekwama kwa Koo)
chakula niliipika kupika
umetapika tapika na niliipika
yote kwa ajili yko eeh
kwikwikwi nitaliiia
kwikwikwi ukiachakukula*2
ungali Baadoo am cooking for you
ungali Baadoo nakupikia *2