LEWA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
LEWA - RAPDONVEVO
...
unajifanya na ujalewa (RAPDON)
unajifanya na ujalewa yeeeh
wacha kujifanya na haujalewa haujalewa haujalewa
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie
wacha kujifanya na hujalewa
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie
hujalewa, hujalewa
masa ya kulewa lewa
masa ya kulewa lewa lewa lewa
lewa lewa lewa
masa ya kulewa lewa
masa ya kulewa lewa lewa lewa
lewa lewa lewa
leta pombe yote wee
unajifanya na hujalewa
unajifanya na hujalewa
wacha kujifanya na hujalewa
hujalewa hujalewa hujalewaaa
verse 1
pombe hufanya niseme Siri za jirani
nikilewa Sana mi hubaki gizani
kama sio whiskey unapenda pombe gani
tot ya Kwanza ushauliza maswali
mnataka whiskey ama jaba
mangwai na vitu za kubamba
mi napenda pombe na anasa
cheki huyo dem ananitaka
so Leo kuna mbegu Fulani mi nitapanda
nikilewa kizungu yangu funny
na ukishika dem yangu kisirani
hizi ndo vitu mi huwa sitaki
masa ya kulewa lewa
masa ya kulewa lewa lewa lewa
lewa lewa lewa
leta pombe yote weeh
masa ya kulewa lewa
masa ya kulewa lewa lewa lewa
lewa lewa lewa
leta pombe yote weeh
Wasee Wase Nani anapenda kulewa
Sheree imegwatana watu wanapewa
staki story ya mapenzi manzee nilichezwa
nikatokwa dem tena nikabebewa
staki iyo tabia Aki walai I swear
ukitaka kunipenda lazima utalewa
Leo ni sikukuu alafu merry Christmas
good afternoon to you my mista
umeingia clabu na bado ujaitisha
tunazichana mpaka sasita
na Ka wiki kameisha wueh so leo
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie
wacha kujifanya na hujalewa
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie
hujalewa, hujalewa
masa ya kulewa lewa
masa ya kulewa lewa lewa lewa
lewa lewa lewa
masa ya kulewa lewa
masa ya kulewa lewa lewa lewa
lewa lewa lewa
leta pombe yote wee
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie
wacha kujifanya na hujalewa
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie
wacha kujifanya na hujalewa
NI furahi day tunapiga shereehe tufurahie