Bila Sababu Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Mi na we wakituona hawapendi,
Haitokei imepita siku tumepita hawasemi, yeah
Kila leo wanayotuzushia ni mengi,
It's okey waache waongee alisemaga madee,
Inavyowachoma utahisi ka nawaonea,
Namba wakiisoma wanahisi kama naotea,
Wanataka iwe bahati yao ila puani inawatokea,
Baadae eti mbaya mie,
Wanachuki hao,
Bila sababu bila sababu,
Binadamu bwana,
Bila sababu bila sababu,
Wanachuki haoo,
Bila sababu bila sababu,
Eeh ahh eeh aah
Bila sababu bila sababu,
Aiyee,
Hata kama unayofanya yanafaida kwao na wewe,
UTAONA,
Vita unayopigana wana wanapingana na wewe,
INAUMA,
Fanya yote ila moja tu usituvuke,
Wanachongoja uwapite tu wakuvute,
Usitende wema ukiondoka eti wakukumbuke,
Bora ukiona wanajisahau tu uwakumbushe,
Maana inavyowachoma utahisi ka unawaonea,
Namba wakiisoma wanahisi kama unaotea,
Wanataka iwe bahati yao ila puani inawatokea,
Baadae eti mbaya mie,
Wanachuki hao,
Bila sababu bila sababu,
Binadamu bwana,
Bila sababu bila sababu,
Wanachuki haoo,
Bila sababu bila sababu,
Eeh ahh eeh aah
Bila sababu bila sababu,