Msalabani ft. Godfrey Steven Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Msalabani ft. Godfrey Steven - Ashery Willy
...
Naweza kucheka, tabasamu usoni
Ila moyoni, huzuni imetawala
Nani aujuaye moyo
Nani augangae moyo
Nani aulinda moyo
Maumivu nlio nayo nimweleze nani
Maumivu nlio nayo nipeleke wapi
Maumivu nlio nayo nimweleze nani
Nakumbushwa na neno lako
Niyaleteee
Msalabani kwa mwokozi aaaah
Msalabani kwako
Kwako kuna uzima
Msalabani kwa mwokozi mmmmh
Salabani pako
Ulimwenguni tuna dhiki
Ila twajipa moyo
Maana kristo uliushinda
Ndio leo inaumiza sana
Ila lipo tumaini
Kwamba upo uzimaaa
Maumivu nlio nayo nipeleke wapi
Maumivu nlio nayo nimweleze nani
Maumivu nlio nayo nipeleke wapi
Nakumbushwa na neno lako
Naletaaa
Msalabani kwa mwokozi aaaah nayatua
Msalabani kwako (maumivu haya aaaaah)
Msalabani pa mwokozi(babaah naleta)
Mmmmh salabani pako
Mmh Lord God anasemaa
Nayajua hayo mawazo
Ninayo wawazia nyinyi
Ni mawazo ya amani
Noyo wangu kwepa shari
Ya dunia hayana jema
Moyo wangu amka hima
Yaweh atakutegemeza
Kama ni ramani
Uuuuuh ishachorwa kabla
Kiganjani, uuuuuh mwake bwana
Ooooh Mmmh huu mwishooo
Uuuuh mwisho mwema
Pamoja, Aaaah naye bwana
Ninarudi
Msalabani pa mwokozi, hakuna kabidhi
Msalabani pako, shida zote
Msalabani pa mwokozi, makosa yote
Mmmm salabani pako eeeeeeh
Narudi narudi narudi narudi narudi narudi msalabani pakooo