Uchawi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Uchawi - Nimasoso
...
Say what say what..
Nimasoso..
Kisa Mia moja, mtoto unamchoma mkono
Huna hata Mia na bado unawaza ngono
Mungu kakupa macho we unatizamia pono, mwombe mwenzio, maisha yatakapomtia mshono
Huo ni uchawi, mwanao kabisa analala njaa, Kisa mchepuko ndo ameleta mabalaa
A ah, , Mimi nakataa kwamba malaria, yanafanya waongezeke vichaa. Mtoto wa mtu umemtongoza kakataa, mwache, usimwendee kwa mganga ndelu umpulizie cheche,
Heh, baba utaleta kasheshe, hata Kama hayatuhusu, haya tukupishe
Nilale njaa, eti Kisa kujenga, huo ni uchawi, Mama mtu akikupenda
Haki ya Nani, Kuna kitu sijapenda Yani Kisa hela, mtoto anatoka udenda
Mimi nataka kwenda juu, unanivutia chini, sjui unamaanisha nini, huo ni uchawi
Mimi nataka kwenda juu, unanivutia chini sjui una maana gani, huo ni uchawi
Mimi nataka patimepo wewe unapaunguza sjui una maana gani, huo no uchawi
Mimi nataka patimepo wewe unapaunguza sjui una maana gani, huo no uchawi
Gari ni ya kwako baba ndo usitupe lifti, kampuni yakwako Mimi ndo nsipate shifti
Maisha kupokezana kijiti, umekula keki ilihali wewe hukuja na gifti.
Ndoa sio mateso baba acha kodi ya meza, Assume ungekua wewe kushinda njaa ungeweza?
Huo ni ukatili, kazi niombe kwa kiswahili Ila interview kingereza,
Kweli pesa imekaa kurahisisha mambo, ila mwenye nazo ndo anazifanyiaga chambo, kijana ni mdogo utaskia mzee, haujambo kifua kakitunisha mbele utazani ye Rambo
Huo ni uchawi, mtoto uzae wewe malezi Bibi, haya tuma hela sasa, yote anakua Bibi
Jamani, hii dunia haina huruma, si ungerudi na wewe sa si ukakae na huyo bibi?
Mimi nataka kwenda juu, unanivutia chini sjui unamaanisha nini, huo ni uchawi
Mimi nataka kwenda juu, unanivutia chini sjui una maana gani, huo ni uchawi
Mimi nataka pa** wewe unapaunguza sjui una maana gani, huo no uchawi
Mimi nataka pa** wewe unapaunguza sjui una maana gani, huo no uchawi
Huo no uchawi
Huo no uchawi
Huo no uchawi