Customer Care Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Customer Care - Chiddy Mentary
...
Aahh aah
It told yah
Chiddy Mentary
Nyasubi is in the building
(Chorus)
Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
(Verse1)
Namba yake no moja zero zero
Yuko na vijana ile kikamanda Sirro
Anaeongea smart Ila kichwani zero
Customer care anapenda jina Hilo
Ukipiga simu lazma anaokota
Sauti nzuri hata Kama anafoka
Huhitaji Wala kukwangua vocha
Kupenda ndo utafanya makosa
Unadhani Mali yako kumbe Mali ya watu
Yuko pale kutatua mashida za watu
Upige mchana upige usiku kwake sawa tu
Haogopi malawama kero kwa watu
Kama emergence, zima Moto, Mwanamke jiko peleka moto
Lugha international lugha local
Atakuvunja moyo ataupa joto
(Chorus)
Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
(Verse 2)
Mara chache kuona siku hapatikani
Anakua kwako iila akili kwa jirani
Anasifia kwako anasapoti mpinzani
Huwezi kimjua ukikutana nae njiani
Anatuma text za ofa Kama wewe humpigii
Hafai kuwa wife labda umfanye wi fi
Anasumbua na watu Kila siku wa IT
Ana Siri za watu kuzisema humfikii
iwe kumfwata, au aje huku, uwe taita au uwe kapuku
Unachotaka kufanya ataruhusu, anakataa ukimpiga mabusu
Kama emergence, zima Moto, Mwanamke jiko peleka moto
Lugha international lugha local
Atakuvunja moyo ataupa joto
(Chorus)
Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care)
We Piga, piga, piga (customer care