So fine by Gringo ft. Gulliver Iy & Mr Sulle Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Fire, Fire
She's burning my heart like..Fire
Waiyooo oh fire
She's burning my heart like.. oohh
Cheki navokonda kwa mawazo naa
Majirani wanasema niugonjwa maa
Kisa kukupenda umenifanya niwe zoba
Moyo umeuchoma kwa mapenzi kila kona
Penzi sio vita tugombane kila siku
Penzi ni mahaba tupeane kila kitu
Nilijipa imani nije nikuvishe pete
Nikiamini utanipenda hata nikiwa kiwete
Demu huonekani mchana
Usiko ndo popo
Kupenda nimependa sikujali yasemwayo
Kumbe demu kicheche, anagawa passi
Yendo daladala wanapanda na kushuka
Ingawa, nilipanga kuwa nawee
Sina budii inabidi nijitowe
SO FINE SO FINE (nitakuwa powaa)
I DON'T LIE DON'T LIE ( Hoooo yaay)
SO FINE SO FINE (Mapenzi gani mbona hivyoo)
I DON'T LIE DON'T LIE
Nikajifanya kingaa
Kwenye joto nikupe ka baridi
Kumbe unaona tu ujinga
Nia yako stress zinizidii
Ni wazi hukuwa wangu miee
We nenda salama sinto ku judge ma
Ila ku share siwezi miee
Uchafu kwa jalala sio kwangu mamaa
Safari nakatisha , vimenishinda visaa
Nimechoka kupambanaa
Vurugu ziso kwisha, kesho nipate presha
Sitoweza onanaa
Aweee…
Nina mke wa ndani ila visabuni kutwa kucha
Aaweee…
Na lile full tank ndo nikaona nalo lakwisha
Maweee
Tunayafanyayo ndani yote nayakuta kwa jirani
Haaayyyy
Sasa nasema basi na penzi lako ndo sitamanii
Ingawa, nilipanga kuwa nawee
Sina budii inabidi nijitowe
SO FINE SO FINE (nitakuwa powaa)
I DON'T LIE DON'T LIE ( Hoooo yaay)
SO FINE SO FINE (Mapenzi gani mbona hivyoo)
I DON'T LIE DON'T LIE
Aayyo good boy GULLI
(Nilipanga kuwa nawe)
GringoNation
(Sina budii)
Talentboy for life
Nijitowe
So fiiineee