I miss you Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Ulinipenda sana
Nikakuona
Nikakuacha ukaenda boo
Yote uliyoyafanya
Nikaona hayana mana
Unajikosha tuu
Zile night kali Nipo na pisi kali
Unapiga simu mi natupa mbali
Yani umetulia tuli
Niliyofanya sio mazuri
Nahisi nina laana yani nina laana
Kwa niliyoyafanya boo
Asubuhi mchana unalalama
Unalalama tuu
Girl am missing you
I will never find someone like you
Girl am missing you
I will never find someone like you
I found true love and I lost it
I found your love and I lost it
Ulinipa moyo wako wote
Na nilivyobwege nikakuona si wewe