Ghetto Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Aaah, Denoz!
Mara kokoriko jogoo anawika
Pamekucha mawio
Kweupe kwa jiko
hakuna cha kipolo wala masalio
Ghetto langu mwiko
Sitaki wageni nawakimbia mbio wowoh
Maana hata diko la kupika sina
Kila kitu ni zero
Myeeh! Sebule ndio chumba
Godoro sakafuni
Kochi moja la babu yangu mzee wa kale
Yote tisa muumba hili hapa la kumi
Napopikia napolala ni palepale
Mara hodi-hodi mwenye nyumba anadai chake
Kama sina kodi ama zangu ama zake
Nishaweka bondi mpaka na vyombo pesa nipate
Sina kalamu ya wino maisha naandikia mate
Mamah-mamah-mamah weeeh
GHETTO,, mmh GHETTO
owoh woh woh woh woh GHETTO,
maisha ya ghetto sio poa (Sio siri), GHETTO
ya maji bili nadaiwa (GHETTO), GHETTO
bado sana mi kuoa,,
Wanasema akufukuzae hakuambii toka
ila mwenye nyumba ananichana makavu
Nimbembeleze akatae, mara aanze lopoka
Matusi ya nguoni mara pumbavu,, mmh
Aah,,,
Ghetto, ghetto,ghetto,ghetto,ghetto,ghetto
Maisha ya ghetto sio poa aah
(ghetto,ghetto) oooh ghetto
(ghetto,ghetto)oooh ghetto oooh
(ghetto,ghetto) ghetto
Maisha ya ghetto sio poa
(Ghetto,ghetto) , mende tele
(Ghetto,ghetto)na kelele eeh
(Ghetto,ghetto) bado mi sana kuoa
Mamah-mamah-mamah weeeh
GHETTO,, mmh GHETTO
owoh woh woh woh woh GHETTO
maisha ya ghetto sio poa (sio siri), GHETTO
ya maji bili nadaiwa (GHETTO)
GHETTO bado sana mi kuoa
__________________________________________________