![Kumtegemea Mwokozi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/25/b062a98877854bcd92a3ba44f0fb49cc_464_464.jpg)
Kumtegemea Mwokozi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
kumtegemea Mwokozi
wangu tamu kabisa
kukubali neno lake
lina raha moyoni
Yesu Yesu namwamini,nimemwona thabiti
Yesu Yesu yu thaman ahadi zake kweli
kumtegemea mwokoz wangu tam kabisa,kuamin dam yake nimeoshwa kamili,
Yesu yesu namwamin.nimemwona thabiti
yesu yesu yu thaman ahadi zake kwel
kumtegemea mwokoz wangu tam kabisa
kwake daima napata uzima na amani
nafurahi kwa sababu nimekutegemea
Yesu mpendwa na rafiki uwe nami daima