Bwana Wa Mabwana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Bwana Wa Mabwana - Princess Farida
...
Nilidhani Nilifika
Nilidhani Nitapaa Juu
Nakukuona
Jinsi Nilivyokuwa
Nilidhani wewe Hukujali
Nilidhani Hukupendezwa
Na Maisha Yangu
Kabla Uje Ukanifungua Macho
Mi nikaona Naishi Kakitambo
Naomba
(CHORUS)
Ewe Bwana Wa Mabwana
Niko Mguuni Pako Unisikie
Ewe Bwana Wa Mabwana
Nionyeshe Njia Zako Nisianguke (Nisiabike )
Nikiteleza Naomba Usiniache
Ukiniacha Kweli Nimeachwa Milele
Kinyagani Mwako Baba Unitunze
Ukinitunza Kweli Nimetunzwa Milele
Ulinitoa Mashakani
Ukanipeleka Maishani
Nitakusifu Wewe Milele Na Milele x2
(CHORUS)
Kweli unafaa Maishani Mwangu Wewe Unafaa
Kila Kitu Maishani Mwangu Ninajua Ni Baraka Toka Kwako x2
Ewe Bwana Wa Mabwana
Niko Mguuni Pako Unisikie
Ewe Bwana Wa Mabwana
Nionyeshe Njia Zako Nisianguke (Nisiabike )
Ewe Bwana Wa Mabwana
Ewe Bwana Wa Mabwana, Nionyeshe Njia Zako Nisianguke
Nisiaibike