Nikiachwa Kama Nimeacha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikiachwa Kama Nimeacha - Mchina Mweusi
...
(Eyo kenny)
Kwanza nina moyo wa chuma
Sifagilii mapenzi
Nisiwaze maisha yangu
Nikuwaze wewe nani
Mi ndo mana nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Oh nilivyo nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Na ndo mana nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Mi kawaida yangu nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Eti mapenzi matamu nyoo unaijua ganja wewe
Nikivesha kama namawazo yanaondoka yenyewe
Eti mapenzi matamu nyoo unajua cha arusha wewe
Nikivesha kama namawazo yanaondoka yenyewe
Kwanza muda wakukuwaza ww shisha namuachia nani
Niache kunywa mipombe nijaze stress kichwan
Siwezi kushindana nako uko nilipotokea mimi
Hakuna faida yoyote zaidi yakupata ukimwi
Mi ndo mana nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Oh nilivyo nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Na ndo mana nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Mi kawaida yangu nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Sasa endelea kujishauwa
Ukadhani unanikomoa
Tukiachana asubuhi
Jioni natangaza ndoa
We endelea kujiona keki
Ukadhani unanikomoa
Tukiacha asubuhi
Jioni natangaza ndoa
(Aiyaaa sasaaaa)
Mahali yangu milioni kumi nyoo
We mpumbavu wakati izo nyuzi ulikatwa kwa chipsi kavu
Punguza kujishauwa wakuja unikome
Wenzako wanaringua shepu we unaringua komwe
Punguza kujiona soda wakuja unikome
Wenzako wanaringia titi we unaringia komwe
.............
Sifagilii mapenzi nikuwaze ww nani
Nikiachwa kama nimeacha tu