Ayala Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Ayala - Juliana Mabamba
...
kama Ayala ayala aioneavyo shauku mito ya maji
ndivyo na Mimi Nina kiu na neema yako ×2
Moyoni mwangu Nina shauku na wee
Moyoni mwangu Nina haja na wee ×2
kama Ayala aioneavyo shauku mito ya maji
ndivyo na Mimi nina kiu na neema yako
kama Ayala aioneavyo shauku mito ya maji...
Eeee BWANA SHUKA,katikati yetu SHUKA ×2
Nina haja nawe Nina haja nawe shuka...
Tuna haja nawe tuna haja nawe shuka BWANA...
(instruments)
Moyoni mwangu huu Nina haja nawe
ukishuka aah nitapata amani × 2
Nizungukwapo na uwepo wako..
hakuna mlima wa kuniangusha ×2
ooohhh..
Nina haja nawe Nina haja nawe shuka..
una haja nawe tuna haja nawe shuka BWANA
Eee BWANA shuka, katikati yetu shuka×2
Nina haja nawe Nina haja nawe shuka
Tuna haja nawe tuna haja nawe shuka Bwana
(tuna haja nawe tuna haja nawe)
Ee BWANA shuka katikati yetu shuka
(shuuukaa)
Katikati yetu shuka
(twakuhitaji)
Ee BWANA shuka
(njoo Leo kwetu)
Katikati yetu shuka
(Nina haja nawe)
Nina haja nawe Nina haja nawe shuka
(nakuhitaji baba yangu)
Tuna haja nawe tuna haja nawe shuka BWANA
(njoo Leo ketu)