Lawama Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Nilitamani kesho na milele tuwe wote
Ila Tabia zako zilizofanya tusifike popote
Nilisikia maneno yanayokuhusu nikaamini ni skendo
Nikakuona kwa macho unapokea mabusu nikajua kisemwacho ni kweli
Ulikosa nini ama gani jini najaribu kukwombea
Mapepo kemea kumbe ndo nachochea we unazidi kupotea potea
Si ulisemaga hakuna kama mimi, iko wapi ahadi (Ahaadi) Ye!
Uwouwouwoooooooo....
LAWAMA,,! LAWAMAMA,,!! LAWAMA!
(Umefanya niwe sugugu), "LAWAMA!
(Nakwambia kwa uchungungu), LAWAMA!
(Nimechoka kuwa zuzuzu), LAWAMA!
(Na sitajutia)
Ulianza MDOGO MDOGO Unachelewa,
MDOGO MDOGO Mala umelewa,
MDOGOMDOGO Kunitukana oh Why!,
Tena NAJUTIA kukupeleka nyumbani kwetu,
Tukacheza pamoja Dumange ngoma ya kikwetu kwetu
And what I Believe is sijakukosea
Lazima nikulaumu mapenzi yako ya pata potea
I DON'T CARE,
WATASEMA NINI MASHOGA ZAKO
Ama NDUGU Zako Wataongea,
Mimi Nitazipokea
LAWAMA! (Churu,chururu)
LAWAMA! (Churu,chururu)
LAWAMA!
(Umefanya niwe sugugu), "LAWAMA!
(Nakwambia kwa uchungungu), LAWAMA!
(Nimechoka kuwa zuzuzu), LAWAMA!
(Na sitajutia)
"NA SITAJUTIA"