Sorry Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
M Nex,
Ulikuwa ni mpenzi wangu, Na Moyo wako haukuwa mbali na mi.
Nilidhani utakuwa wangu, Na ndoto zangu zinafeli yani siamini.
Hata uki-post, naona unanisema Mimi, naishi kwa kujishuku.
Na wala sio mbali, ni juzi tu, ulikuwa Na mi.
Tulipiga picha wewe na mi, Penzi Likashamili, Na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili
Oh baby! Sorry! , Sorry! Sorry!
Oh now I'm worrying, worrying ,worrying.
Oh baby Sorry, Sorry, Sorry.
Oh now I'm worrying, Worrying, Worrying.
Namiss zile snap chat ulinitumia, Video call night ulinipigia.
Namiss tabasamu lako , sio utani naumia mwenzako.
Na utakua unafeli kama ukinichunia, SMS haujibu ata nikikutumia,
So Fanya tuyajenge mana nimekosea, I promise, siwezi kurudia.
Tulipiga picha wewe na mi, Penzi Likashamili, Na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili
Oh baby! Sorry! , Sorry! Sorry!
Oh now I'm worrying, worrying ,worrying.
Oh baby Sorry, Sorry, Sorry.
Oh now I'm worrying, Worrying, Worrying
It's a trap house records