Ngoja (feat. Ss.Flo) Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Ngoja (feat. Ss.Flo) - Ara Kay
...
Kahama Republic
Ara Kay
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Eenhe
Kama ni upendo mi najua nilishafika
Na sehemu gani na zingine nimefika mama
Na penzi lako si unaona limeshika
Hata kuondoka mie siwezi leo nakufa hapa (Leo nakufa hapa)
Japo wengi sana wanataka kuwa nawe
Wanatamani nikuachee wewe mwenyewe
Sasa vipi nitafika bila ya wewe
Hii safari yangu niende mimi mwenyewe
Tara rai ma baby taa ra rai
Yo're cute like a angel dust tara rai
Kwako nishafika baby till I die
Chochote nitafanya ili ufurahi
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo
Enhee
Wee nionyeshe kila kitu alichokupa mama
Mwaga makopa ndio upendo ona twafanana
Kama mapacha tunavyotoka wanaongea sana
Wanapotuona roho zao eti zina wauma
Mzigo uliobeba caterpillar (Pillaaaar)
Nitageuka kuwa mlinzi kwa hasira (Hasira mama)
Waambie wanaokuwinda bila bila
Nitapiga hawa watu kwa hasira na
Kwako tuu sijiwezi baby (Baby)
Penzi lako Kung Fu heavy (Heavy)
Nishakufa sijiwezi ndezi (Ndezi)
Nipo kwako mi nataka penzi (Penzi)
Taraa raah
kwanza ngoja
Huko nyuma ulichofunga ni kihoja
Taraa raah utanikoma
Nikupe mchezo gani leo