Msichana Hodari ft. Wini & Frida Amani Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Msichana Hodari ft. Wini & Frida Amani - Dada Hood
...
WRITTEN BY Mr Clever Tz
0715975490/0755975490
oooooohoo yayaaayaaa (dada hood)
Kwanza thank Lord kwa jinsi ulivyoniumba
Pili iam strong msichana siwezi kuyumba
na mwendo wangu polepole
sikatishwi tamaa napokwenda
Japo kupata kuna foleni ila hakuna cha kushinda
acha majaribu yawe jangwa siogopi mi ni ngamia
Mana najua napokwenda ndoto yangu itatimia
And am still still strong mpaka ndoto zangu zitimie
I will never be the same nataka kuwa mfano kwa dunia
CHORUS
Nasimamaa imara (msichana najiheshimu)
nasimama imara (nautunza utu wangu)
nasimama imara ( msichana najiamini)
nasimama imara (ooh nina ndoto kubwa ooh kubwaa iyaaa eeeh)
VERSE
Msichana jeshi kubwa tapambana bila kuchoka
hata kimbunga na dhoruba haviwezi kuniangusha
Heeeii sichagui kazi ili mradi chapaa sibagui kazi ili mradi chapaa eeh (chapa eeh)
machozi jasho yatatoka nitajizuia kudondoka
nia yangu haitotoka hata siku nikichoka
Acha majaribu yawe jangwa siyaogopi mi ngamia
mana najua napokwenda na ndoto yangu itatimia
CHORUS
VERSE
Yoou eh!
mi ndo picha kamili mi ndo ile picha ya kuiamini
picha ya msichana akipigana anaweza kuwa nini
anakuwa kama mimi
mi ndo yule nliyetoka A city chochote sina
leo Tanzania inanijua nna jina
Icon kabisa binti mwenye future
Pride a self anapigana kila 'kicha kuandika historia
i was here nilipita so tulipita nimepata kile nachotaka nawe unaweza pata kile unachotaka
I have a dream bigger than Martin Luther King naamini kwako queen kwa pamoja tuwe timu ya ushindi
CHORUS
VERSE
Msichana hodari anajitambua
anajiamini ana ndoto kubwa
Dada hood msichana Initiative
nasimama imara heey
msichana onesha uwezo wako
.............
msichana mwenye ndoto ni moto
A girl with dream is fire
WRITTEN BY Mr Clever Tz
0715975490/0755975490