Only You Lyrics
- Genre:Benga
- Year of Release:2022
Lyrics
Only You - Ackley Taro
...
Only You Song Lyrics
Mola kweli kakuumba,Kakuleta duniani,
Uwe wangu niwe wako,Aah tushagandana,
Yaani kakupa tasilimia,Kakufundisha kwa njia,
Kakupangia mpaka na nia,Aah yaani wee.
Yaani moyo damu,usihisi iih, twaendana,
Hata akiingia ibilisi hatuwezi tengana,
Wale wenye tamaa ya fisi watabanana,
Watauma kwa ufizi wape banana.
(Chorus)X2
Yaani baby you,I say you,Baby you,
Ahh tunaendana
Tusubiri siku yetu yaani kaa,
Tuombewe tukiwa tumekaa,
Aibu itutoke my darling,
Tuvuruge kwa furaha,
Mimi na wewe.
Yaani moyo damu,usihisi iih, twaendana,
Hata akiingia ibilisi hatuwezi tengana,
Wale wenye tamaa ya fisi watabanana,
Watauma kwa ufizi wape banana.
(Chorus)X2
Yaani baby you,I say you,Baby you,
Ahh tunaendana
Naona mwili unakwenda,
Moyo nao hukomi kukonda,
Na mawazo yanipimia,
Ooh ma baby
Mapenzi hayati haraka,Kama vile farasi,
Kwenye kisima cha penzi,Usipokunywa lazima utalewa,
Ila wangu azizi,Kwako nishajipa leseni
Ooh ma baby
Only You X4, You captivate me
Only you X3, You make me feel alright,
Yaani baby you,I say you,Baby you,
Ahh tunaendana x2
SPECIAL DEDICATION TO YOU MY LOVE,
I PROMISE TO BE WITH YOU, NOW AND EVEN FOREVER
I LOVE YOU.