Endelea Kusubiri Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2022
Lyrics
Endelea Kusubiri - ELTONE7
...
Ni mengi sana unapitia
yanaumiza moyo
mateso makali unayopitia lakini usife moyo
pengine ndoa yako inayumbayumba
pengine ndugu zako wamekutenga
pengine hujui kesho utakuwa wapi
pengineeeee afya kwako nayo ni kikwazo
mmmmmh we vumilia utashindaaaa.
Endelea kusubiri usivunjike moyooooh
wewe mwamini yesu atakupigania
Endelea kusubiri usivunjike moyo
wewe mwamini yesu atakupigania aah
Umesoma sana kazi hujafanikiwa
kwenye ndoa yako mtoto hujabarikiwa
nyumba za kupanga umeyachoka manyanyaso
ofisini kwako maneno wanakuzushia
umechoka wewe magonjwa yanakuandama
mwambie yesu amebeba jawabu lako
mwambie yesu atafanya muujiza kwako
Endelea kusubiri
(usichoke)
usivunjike moyooooh
(wewe mwamini yesu)
wewe mwamini yesu
(atakupigania)
atakupigania
(endelea)
Endelea kusubiri
(usichoke)
usivunjike moyo
(wewe mamini)
wewe mwamini yesu
(atafanya oooooo)
atakupigania aah
(atakupigania oooooh).
Vuta subira
safari bado inaendelea
usikatetama usivunjike moyo ooooh
safari bado inaendelea
Wala usiwaze kujinyonga
safari bado inaendelea
Wala usivute madawa ya kulevya
safari bado inaendelea
tena usiuze mwili wako
safari bado inaendelea
mwamini yesu tegemeo
safari bado inaendelea
oooh safari bado safari bado oo ooh
safari bado inaendelea
we bwana atakutendea
safari bado inaendelea
Wala usiwaze kujidhuru afya yako ooo oooo
safari bado inaendelea