Steven Munugwa_ Ujuaye Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Steven Munugwa_ Ujuaye - Steven E. Munugwa
...
Ujuaye kuitosheleza
Ujuaye mahitaji Yangu
Watosha, Waweza Bwana
Nakwabudu ×4
Jehova Elshadai
Mungu mtoshelevu
Waweza watosha
Nani kama we we
Ulinijua toka tumboni
Hesabu ya Nywele waijua
Uonaye sirini
Mimi nakwabudu..
Ujuaye
Ujuaye kunitosheleza
Ujuaye mahitaji yangu
Watosha waweza
Bwana nakwabudu ×2
Nani wa kunitosheleza
Pesa na Mali haviwezi
Nimegundua ni wewe tu
Waweza kunijazi
Nafsi yangu inatamani
Kukwabudu Jehova
Kisima Cha Uzima
Kwako ni Salama..
Ujuaye Kunitosheleza
Ujuaye Mahitaji yangu
Watosha, waweza
Bwana nakwabudu