Loading...

Download
  • Genre:Soul
  • Year of Release:2022

Lyrics

Sina Pesa - Kaka B

...

kama ningekwa na pesa na pesa

Ningechanganya watoto kaka ningetesa

shida niko nayo sina pesa kuwapendezaa, aaah me sina pesa

kama ningekwa na pesa na pesa

Ningechanganya watoto kaka ningetesa

shida niko nayo sina pesa kuwapendezaa, aaah me sina pesa


Mapenzi bila hela skwizi hakunanga nanii

we jitupe ndani ya moto kisa mtoto ndo utatii

UNaponifunga ndani ya pochi we mammy

na kunipa raah mpka tendo unaniita daddy yeaah


Mapenzi bamba tunaliwa kama bandooo.

Na hicho kichwa chako eti unapendwa keti kandoo staki kutumiwa kadi ya haruusi staki mchangooo,

na baada ya siku mbili unanzalia ndoa chambo


Bora nisake hela hela ndo mapenzi we fatana na mapenzi mwishoni penzi ni ushenzi

Sipingi ndoa wala siweki ndoa doa Lakini mbona naweka mwenzangu pesa anatoaa?


Hakuna soni watoto wanaliwa na babuu na ukiuliza mbona wanasema tabu ndo sababu hayaaa,

pokeeni mikwaju yenu ya adhabu kama hivo ndo mnataka, mwenzenu siwapi tabuuu


kama ningekwa na pesa na pesa

Ningechanganya watoto kaka ningetesa

shida niko nayo sina pesa kuwapendezaa, aaah me sina pesa

kama ningekwa na pesa na pesa

Ningechanganya watoto kaka ningetesa

shida niko nayo sina pesa kuwapendezaa, aaah



Sipendi mpaka npate pesa za kupenda

ndo mana napiga mishe npate pesa za kupendaaa

Staki dhubutu sina pesa atanitenda mashabiki watanicheka sasa wapi nitakwenda, So nkipandwa na hisia, nakula na macho,nameza mpka na bia, bora kwake niwe machoo

Napanga vitu havipangiki mpka bado najua siwezi mudu zile deti kila satoo

Nambie ni vipi bila pesa niko mjini naona kama me ntarudi kijijini mambo vipi

Nataka sana kutulia na huyu binti shida siku alipofika alinipa bei kwa cv


Na hizo presha kaka bizze mimi sinaa

Staki kabisa stori za kinya na tina

Ruhusa nipendwe siku nikipata bima kwa sasa niache nipewe kidogo kwa mama pimaaa


kama ningekwa na pesa na pesa

Ningechanganya watoto kaka ningetesa

shida niko nayo sina pesa kuwapendezaa, aaah me sina pesa

kama ningekwa na pesa na pesa

Ningechanganya watoto kaka ningetesa

shida niko nayo sina pesa kuwapendezaa, aaah sina pesa


Sina pesa, na sina presha

Sina pesa, kaka bizze sina presha

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status