Minyama Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Minyama - IMUH
...
IMUH - MINYAMA
Intro..
Na ye ndo kanidaka juu juu..
Na penzi lake kama dege la kijeshi
Ye ndo katibu wa nidhamu
Ananisachi mpaka ndani kwenye fence (ayee)
Amenivuruga Amenibambanya jamani si utani
Kama padre na amsalaba, shekhe na msikiti ndo yeye na mimi..
Na baby basi sitokuweka nukta, ukizidisha mwenzio nitachizika,
Hili penzi ama sadaka, linanipa mpaka nashindwa pa kuweka.
Na Mara popo kanyea mbingu..
Miguu juu juu, kama tuna cheza judo.
Dozi mchana.. usiku sipati nafuu,
Kama naumwa kifaduro.
Baby punguza raha mi nakua kibonge, nanenepa.. kwani hakuna dagaa ona kila siku wanipa mafuta..mwenzako nimekua chibonge..
Nimetoka minyama.. ona nina mashavu kama napuliza moto! Nimetoka minyama.
Na penzi umejaza wese wewe wewe
Nimetoka minyama, mwenzenu (nimetoka minyama)✖️2 mwenzenu nanepa kwa raha.
******
Nilipata majangiri n’kadhani mapenzi sio raha
Nilijiona bahiri kumbe sijawahi pendwa (ayee)
Sasa napendwa na pesa natoa.. Roho mkunjufu nafsi nimeridhia, akinitega tu pochi nampatia, na nnavyopenda ngono sijui nitatoboa..Penzi lake nakopea mkopo benki, nakopeshwa na sidaiwii.. kutwa nazama mgodi wa chumvi sipati safura wala kisukari.
Na mara popo kanyea mbingu..
Miguu juu juu, kama tunacheza judo.. dozi mchana usiku sipati nafuu, kama naumwa kifaduro. Baby punguza raha mi nakua kibonge, nanepa.. kwani hakuna dagaa ona kila siku wanipa mafuta.. mwenzako nimekua chibongee..eee nimetoka minyama,
Jamani mbona anaupiga mwiiingi. (Nimetoka minyama). Ananipa full charge wala haringiii
(Nimetoka minyama) ona nina mashavu kama napuliza moto.(nimetoka minyama)
Oooh ooh ooh!
(Mara kasema ongeza..kasema punguza mi sielewii, mara anadai tumechoka afu nataka tena yani sijuii)
You can call me (???)
********************