Tic Tac Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Tic Tac - Ranzscooby
...
Yoh yoh yoh
easy bad one life 204 aaah
first of all Niko class
niko class four
baby girl anadai niwashe ndong
nishaazigonga fiti juu mi hukuwa torn
izi end wanatry kunigaswarm
Niko club na maguys tunabuzzwarm
na magirl wamevaa,wamevaa thong
story Gani walai siwezi buzzwarm
Niko chat na maguy mi ndo fatherdom
kikipin walai mi nafika lone
unajua my son mi nafika om
siwezi banja mtaa mi ndo fatherson
izi streets unajua mi ndo main goon
ukibanja nanii unapigwa boom
kaa ni heavy maguy itajipa soon
usiworry na life itajipa noon
persuation kwa life ka hupata goon
ni wikendi walai zimefika moon
na madiva wamechrome nimepiga zoom
usizime maguys siunajua rules
tunakata walai hadi ifike noon
kaa ni ndong unataka unacall Kush
izi end tunataka madem boom
wamejaza design ya macaltoon
tukiwa wapoa wanapenda mataicoon
akijipa maguy unacheza pool
ndo akibend unagrab unatapcool
easy girl wanapenda early badgoon
kaa ni life tunapenda money fastfood
alijam akapata bad luck goon
everything mi nado paying God cool
first thing kwa raise ni fast move
badgal anapenda... anapenda eeeeh...
unatic tac unatic tac nini
baby huna ass unatic tac nini
Izo ni nini unatic tac nini
Ii ni yamaboyz wamebeba scene
unatic tac unatic tac nini
baby huna ass unatic tac nini
Izo ni nini unatic tac nini
Ii ni yamaboyz wamebeba scene
anataka design ninataka
labda ananicall anajua nilipata
Kuna vile form mi hujipa na makata