MBONA UNACHEAT Lyrics
- Genre:Drill
- Year of Release:2022
Lyrics
MBONA UNACHEAT - SWAT GANG
...
Intro:
Nice tune
yeah,,swat gang
Mara ya kwanza nakuona,,baby girl your so f*ck prett
Mara ya pili nakuona,nilikucheki your smiling face
Round three nakuona,nilikuuliza if we can date
Naulisema yes,,yes
Chorus:
sa mbona unacheat(mbona,mbona!?)
sa mbona unacheat(weeeh,,ahhh!!! mbona)
sa mbona unacheat(eeeiiiweuwee!! mbona)
sa mbona unacheat
mbona unacheat
THUG BOY KC VERSE:
sa mbona unacheat
baby girl why you playing like this?!!
unanicheza matricks,,azn unapenda makicks
ulipenda malift's za madonga,mababii..marich
my name is kc sa uliamua tu kumiss
wacha kusimp,kubeeb kucall usiku
nlikusho kudrip sai unaninona fafu
am not a deff,blind kiziwi sioni kitu
sa mi napropose ur hoe and fuck'n juju
ju sai,,kwa apart tumejip mahoe
ju pori imejaa tu doh
manze ni mambo ya God
swatgang si hukuanga dope
"rraa" here gang na tumecrome
nimasmoke na cheque kwa zone
na mandege ni nike na drone
b boy,m-right my homie
since late umekua na mafriends,mabeshte kukubrain wash
ulipenda kuparty wekeend,thats why ukapenda na doshi
ju mamoryoo walinishow
walinishow..na nikakushow
nilikushow na ukanishow
nisikushow atii ju nakuboo
Chorus:
sa mbona unacheat(mbona,mbona!?)
sa mbona unacheat(weeeh,,ahhh!!! mbona)
sa mbona unacheat(eeeiiiweuwee!! mbona)
sa mbona unacheat
mbona unacheat
IANOH LYRIST VERSE:
mbona unacheat,,baby girl joh mbona unacheat eeeii
venye umerembesa,,msupa mbona unacheat
unapenda stick!!..
vako za miti joh,kupigwa shift
mbona unacheat na nilikudiss
najua weekpoint yako inakunga ni kiss
lakini masponyo watukipiga D
hupendi masomo,,ulichorea
lakini akili ndio inakuokorea
ka hana ganji,,unanyorea
unapiga ukisonga "anaku" ongea
idhaa ni mbayaa tunabondea
ka anakucheza buda chorea
ndio maana nkilala mi huishi kuwaombea
michezo ya paka na panya chorea
eeeeiii
hakunanga kitu tamu,,ka kujiita babe(babe)
unajipeleka dubai bila hata stress(stress)
maringo ni mingi,,skuizi naflex(flex)
mbogi ni mbaya ni rong ndio maana siujita "dead"(dead)
One man army,adisia the mbogi
unateta na hujalipa kodi
hasira ni mingi uliachwa buda skuizi hushindi na mbogi
saka mkwanja,saka mulla hadi mshori arudi na sorries
ibaki stori,aliachwa ama alitekewa mshorii
buda chorea
ka anakucheza joh buda chorea
bonda sana,,hufai kuongea
ndio ajue ni wapi na ye alikosea×2
sa mbona unacheat
sa mbona unacheat
sa mbona unacheat
sa mbonaunacheat
suuu!! suuu!! ni swatgang