Imba Lyrics
- Genre:Classical
- Year of Release:2022
Lyrics
Imba - Dayoo
...
Yoooh Naitwaa Mangi Yaani Mchaga tena aaananaaah!! Chidi caree
Nilivyoanza hii safari Nilijua easy mbona poa,Nishathaminishwa na kipaji nikitoa hit natoboa
Kumbe ipo tofauti na nilivyofikilia ,Hata wenzangu walikaza buti ndo wakafanikiwa,
Waliokaa juu acheni, kama sifa wapeni,
Maana maswahibu ni mengi ila yote wanavumilia,
Jua likizama matatizo yanazidi elimu st kayumba mtaji ni kipaji majukumu hayakatiwi tamaaa familia inaniihiatji,
Mama anasema mwanangu pambana usilale na nyumbni,,
chorus:
imba imba eeeeh
imba imba eeeee
imba imba eeeh
usilale na nyumbani eeeh iieiieeeeiiih Mama nasema Mwanangu we iiiiieeeh mmmh mbona upo sawa na wenzako ,
Vesre2
Aaah kila nikikaza giza lazidi kama naenda afu narudi,
Na kupendwa napendwa sana,sa mbona michongo hainifikiii,
Ila Bado ule mchongo nausubiri nakaza roho nichomoe na sijutii,,
Mtaanii washaniamini we Mangi ibebe ukonga mabegani yaani sa ni kuwa na imani, hauko mwenyew vitani,
Jua likizama matatizo yanazidi elimu st kayumba mtaji ni kipaji majukumu hayakatiwi tamaaa familia inaniihiatji,
Mama anasema mwanangu pambana usilale na nyumbni,,
chorus:
imba imba eeeeh mama anasema mwanagu ieeeh
imba imba eeeee, mbona nakutegemeaaa mwana ona wadogo zako aaah na dada zako aaaah wote wanakuangalia wewe
mmmmh ieeehieeeh
yaaan mchaka mchaka chinja hadi mselema hadi toboa
Mchaka mchaka chinja hadi mselema hadi toboa ,
mchaka mchaka chinja hadi mselema hadi toboa ,
mchaka mchaka chinja hadi mselema hadi toboa,,,,
Majuku hayakatiwi tamaa ,familia inanihitaji