BANJA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
BANJA - SKADI TAYLOR
...
[Intro]
Skadi Taylor
Producer Kim on it
Haaa
Alegooo
[Bridge]
Banjaa Banjaa, Banja za Razi ni Ganja
Banjaa Banjaa, Banja iyo Mdomo ni Puncture
[Verse 1]
Ukibanja nasaka mkwanja,
Kadeila ni biz nachanja,
Na siezi kalia viganja wenge ni mingi nmefunga na kanja
Kusere nipate na ganja,
Juu Jiji nairun kijanja,
Wasoro mnataka kuhanja skiza ni Skadi ni me ndo kukanja
Nacheki umepandwa na jazba reason ni ligi naifunga na rabsha,
Kisogo umeficha kwa jumper maana iyo akili imeshinda imechapa,
Wosia nlipewa moshadha kama uamini uliza wamatha,
Kamongo nlipewa kawaida mmeona hii mongo imejawaa mawaidha,
Doba imeunguza madebe, doba imefanya warazi wateve
Marima wameingiza kanjeve, veve wateme wacheki malembe
Machungu natia ka wembe, ka ni mistari inakata mapembe
Makali wasare uzembe, ka ni unenge waseti matembe
Hii beat ijapangaa uzazi , mistari inazaa si kama Rabbit
Ka njege niko maidhaa , hii ndo masaa kuja na verdict
Mapenzi sitaki ya love seat, fisi mawindo nakuja matactic
After Henny kutoana jersey, kula utam kwanza ya lactic
[Chorus]
Banjaa Banjaa, Banja juu ya nani Mjanja
Banjaa Banjaa, Banja Ni kama una haja
Banjaa Banjaa, Banja za Razi ni Ganja
Banjaa Banjaa, Banja iyo Mdomo ni Puncture x2
[Verse 2]
Ka we ni rapper survivor, chunga hii ulimi inakuja na wiper
Na sibanji na nyinyi kawaida, beat ni origi' natema ka viper
Makoro me hufunga kwa lighter, seti machimney ziwake ka lizer
Kazogo nazua na cypher, staki iyo ubishi naifunga na diaper
Spitting viheavy and you calling my name
Skadi bazeng' and you loving ma game
Spotting the shame as am budding in fame
I don't care what they say cheki bado natrend
Sichoki kutrek as you crossing my lane
Posting and then niko posing at them
Skuizy sistress kama excuse ni lame
They be talking alot n***a gimme a break
Mbogi ni mbaya niite kabaya huskii ni kinaya ukiniita messiah
Vile nafire vitu ni dire nazidi kuwika mkinirequire
Shiko na Maya niliwaacquire mjunior ndio bado nasaka ubaya
Kiki nagwaya uvumi namwaya ka ni hekaya nazidump mbaya
Nlianza kaline ukasema ni veve
Mistari kurhyme ukasema ni tembe
Sahii ni high inabidii unibebee
Chini sikai nadunda na ndege
Rende ni wrong unataka nipende
Nyumba ni Ngong unataka nijenge
Zabe machuom ulisimamisha Reggae
Voice kuroll ukanyambisha debe
[Outro]
Taylor Pon Dis
Haaa Skadi Taylor
Back Like I Never Left