Ungefanyaje Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Ungefanyaje - Buki tz
...
Mama mama mama
Mmmh yeee
Mama mama mama
Mzee juma nipe ghahawa
Malimu weka alikasusi
Mzee mbonde acha kucheza bao
Mwenzenu yamenikumbaaa
Siunamjua mwanahawa mtoto wa mzee matusi
Anaependa mambo yamwambao jamni yamenikumbaa
Dah sijui niliwaza nini kumkabidhi shilingi anilindie mcheza dubwi
Nilivyodhani ananipenda mm kumbe ametujaza na wengine hawajui
Jamni mapenzii hvi yanashida ganii
Unaweza ukamjali kwa kila hali kumbe nyama anakula shabani
Mara ya mwisho nilimkuta kwenye chumbani changu
Anadate na rafiki yangu
Wamejifunika shuka langu uchafu wamefutia taulo langu
Niambie wewe(ungekua ww ungefanyaje)
Baba wewe (ungekua ww ungefanyaje)
Mzee mwenzangu niambie wewe (ungekua ww ungefanyaje)
Aah mzee mbonde nieleze wewe (ungekua ww ungefanyaje)
Kinachoniuma nilipokwenda kwao
Sikuwah kuona ndugu wakiume
Ilatangu sasa tuingie kwenye ndoa
Mama humu wamezidi husipime tena
Majina ya mabwana zakee
Anasave mashoga zakee
Ananifanya boya eti sijui kumbe kitambo nishajua nia yake
Anataka kuniuwa na uparanta
Ooh uparanta
Yani mapenzi anacheza kama karata
Ooh karata
Mara ya mwisho nilimkuta kwenye chumbani changu
Anadate na rafiki yangu
Wamejifunika shuka langu uchafu wamefutia taulo langu
Niambie wewe(ungekua ww ungefanyaje)
Baba wewe (ungekua ww ungefanyaje)
Mzee mwenzangu niambie wewe (ungekua ww ungefanyaje)
Aah mzee mbonde nieleze wewe (ungekua ww ungefanyaje)