Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2022

Lyrics

Karibu Dar - Ibra Chanzo

...

mbeya city one timeeee

Gachi B


Karibu !!! Karibu daaa!!×2


aaa! hiyo eee! Karibu sana japo sio lazima huku watu wengi sana ila ukiona kunashida we sogea kupambambana ila usikopeshe kaa unadanga


Tena ukifika mbezi we nipigie simu ni weeleze wanangu maana wanangu ni ndimu wanaweza pora gari ? kisha mpaka simu usiulize kwa nini mimi mwenye mbona ndimu


Ukiona maghorofa usishangae acha pupaa utapigwa kibao kiuno fally ipupa kama fegi ukija huku epuka ukiendekeza simu baadae utakula unga

Tena unapo kuja ulise kizembe na maharage usije kizembe waage watu wotee !!!


Chorus

Karibuu !! karibuu daar!! ×4


Young lunyaa


ooh! my ee!

ye!!

Karibu sana kwenye jiji la wajanja vijana huku wanashindia mirungi na maganjaa usikae kwa kutulia kaa ! kijanja walinzi ndio wanalinda na virungu wezi wanakabia mapanga!!


Mimi nipo daar kabla hata sijatoka naijua vizuri toka enzi hizo star Khadija kopaa dar hakuna kitu huwezi kopa haukopeshi pesa tu huku hata mapenzi utakopa


Hapa kuna watoto IFM wapangawishwi na Fem usishoboke na kwanza shobo hawataki saaa!! jifanye chizi madem na pesa zako za chumvi nisikufiche zitaliwa kiroho Safi..


Zingatia sehemu inaitwa Ubungo hapo mwana kuwa makini usiombwe ukapigwa hata kikumbo hapa wanakuibia hata kifungo usipo kuwa makini bei ya nyama watakuuzia hata utumboo........



Karibu daar!!

Karibu!!! karibu daar !! ×3

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status