Tai Chi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Artits: Ruby
Song: Tai Chi
Lyrics:
Verse 1
Nguo kaishona, wanajuta waliofumua
Leo Mungu kanionaaa, kanijibu zangu dua.
Penzi mbaazi nakula huku najirambaa aah
Kaniunga kwa nazi, samaki nampara magambaaa
Kula m’bakishie baba, sibakishi mi navimaliza
Na kama tonge likinikwama, yeye ndo maji ananituliza
Ukitaka za Tai Chi – (Sawaaaaaaah)
Hajapigiwa anacheza, mwali nina degree - ( Ayaaaaa )
Tui sitemi nameza
Chorus’
Baby hii ndo style gaani – ( Ooooooh Tai Chi )
Mbona umeganda hewani - ( Ooooooh Tai Chi )
Vurugu kwakwaru kama nyani - ( Ooooooh Tai Chi )
Kwani mwalimu wako nani - ( Ooooooh Tai Chi )
Verse 2.
Kanipa yote nidambue, udambu udambu nirumbue
Kaniruhusu niamue, nitake nini nichague
Nifunike unifunue, nibandike unibandue eeeh
Kula mbakishie baba, sibakishi mi navimaliza
Na kama tonge likinikwama, yeye ndo maji ananituliza
nikitaka za Tai Chi – ( Sawaaaaaaah )
Hajapigiwa anacheza, mwali nina degree – (Ayaaaaa)
Tui sitemi nameza….
Chorus’
Baby hii ndo style gaani – ( Ooooooh Tai Chi )
Mbona umeganda hewani - ( Ooooooh Tai Chi )
Vurugu kwakwaru kama nyani - ( Ooooooh Tai Chi )
Kwani mwalimu wako naaaaaaaaaaani – ( Ooooooh Tai Chi)