Emojis Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Emojis 🅴 - P Mawenge
...
emoges
namba yake alinipaga nilikuwa nayo kwenye simu
na Mimi kua na yeye ndo ilikua big dream
kutongoza siwezi kwenye ujanja huo simo mchizi
Bora tuchati nitume nguvu ya emogis
nikatuma ya kiganja kumpa hi
na yeye akairudisha which mean she is all right
nikambania kijicho plus the word I mish you
na yeye akairudisha with the captions me too
nikatuma chenye tabasamu na miwani
kajibu Kwa kuonesha haelewi ina maana gani
so nikamrushushia kikopa kwama namzimia
akajibu no
ikabidi nirushe kinacholia
kisha Nika tuma cha kuinama kuonesha I'm disappointed
akantuliza don't do that give me a moment
apo kidogo nikaanza kufili happy now kama atanielewa nothing can stop me