Kamtelezo ft. Mwaisa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kamtelezo ft. Mwaisa - Game Boi
...
.........
Game..... yesu wangu
........
Arusha Boy music
...........
mamtelezo uh kakanyaga ndizii
kakutana na mtelezo
na hili ngoma nila ma people ....la machizi wangu
ambao tumepitia msoto sasa ni ka mtelezo.... wauwe
ahhh
na washakutupia mapepo upate mateso
ndo maana unapenda vya mtelezo
ulitoa game ukapigwa kebe ukayasepa na majibu
leo muhuni huja win , umebambia jini
apa kudanga foleni kwa baba jane na madeni
Bia moja kaoza kaisha,.. aaahh mateso na kujitapiakia ... noma sana
usiyajutie maisha ..weew umelewa harisha
ukizima ..wahuni watatisha (wooi) utaliwa
utapigwa mapicha ukikaa vibaya mlinzi ata pita utapewa mimba isiyo na jina
mtelezoo... kakanyaga ndizi kakutana na mtelezo
na hili ngoma nila ma people .. la machizi wangu
ambao tumepitia msoto sasa ni mamtelezo (mamtelezo)
Game am say come down on cool down sit down my broo
kwenye kona ni khushi wana roll nao
usicheze mkono mfukoni
ka unioni ,mbili metre payying kula gambe dada unawazia nini
Room ya kula la nita pimi
kesho ninapokaa nitakupeleka girl
jiachie jiamini mummy punguza mzuka midadi
uvae haraka haraka usikatike kihindo
lindo wana tako tila tuko lindo locally ila kizairabolingo
niwarembe niwachafulie .. ahh
nibakize niwamalizie ..eeeehh au
niwameze niwatapikie ama tumpe pombe atusaurie...
mtelezo ...... kakanyaga ndizi kakutana na mtelezo
na hili ngoma nila ma people.......wazeee wa mitelezo sasa
ambao tumepitia msoto sasa ni mamtelezo .....kamtelezo flani
hehehhehe
ni noma sana ......ni noma sana
kamtezo flani ......hihihihihi
wazee wa mitelezo pisi flani ila noma mwaisa ...hihihihihi
oya oya oya Game Boi ....hihihihihi
Arusha Boy music......hahahaha
soka pwaaaah apa