I NEED YOU Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2022
Lyrics
Mapenzi ni matamu
Sijaona uchungu wakeee
Ukiwa na nidhamu jiachiee eeeh
Lazima ufahamu
Ninini unapenda kwakeeee
Faragha na karamu si tujilie
Kwani unadhani
Kupenda ni utani
Jua nimezama
Kwapenzi lako
Napenda ufahamu
Mapenzi ni matamu
Jua nime zama
Kwa penzi lako
Nakupenda
nakumis
nakuhitaji wewe mamax2
Ifanye siri kwako iwe
Kwapenzi tuli kwangu na wee
Ujue mi nania nawee ooh baby
Tuzae watoto mm nawe
Tuendeshe maisha mm nawe
Ukilala ulale mm nawe oooh baby
Hata maisha yakipanda
Bado tunagandaaaa
Maisha kujipanga mimi naww
Tuishi kwa kibandaaaa
Iwe nyama amaa dagaaa
Pesa kujichanga mm na wew ooh baby
Kwani unadhani
Kupenda ni utani
Jua nimezama
Kwapenzi lako
Napenda ufahamu
Mapenzi ni matamu
Jua nime zama
Kwa penzi lako