Neno Asante Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Neno Asante - St Martin Catholic Church Usenge
...
Ninakusuhuru baba Mungu wangu
Kwa mema unayonitendea baba
Siku zote ninawaza jinsi gani
Nitalipa nini mi kwa shukraniiii....
Moyonii mwangu moyoniii mwangu
Nisiposema neno asante
Nisipokiri wema wa Mungu
Ulimi wangu ugandamane
Na kaa kaa la kinywa changu mimi*2
Yote uliyoyatenda juu yangu
Nashindwa kusimulia baba yangu
Machozi yenye upendo na furaha
Tazama yamenipamba shavu languuu
KIITIKIO
Leo ninaimba nyimbo za furaha
Ninageuka kushoto na kulia
Nimeamsha vinanda na vinubi
Alfajiri na mapema ninaimbaaa
KIITIKIO
Umenishibisha mema ya mbinguni
Neno lako limetumwa ndani yangu
Furaha imetawala moyo wangu
Jinsi ninavyokupenda Mungu wangu
KIITIKIO