SITAOGOPA ft. BRIAN INTERNATIONAL Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
SITAOGOPA ft. BRIAN INTERNATIONAL - Minister Silas
...
Chorus
Mungu wangu yunami
Mungu wangu yunami
Sitaogopa yeyote
sitaogopa chochote
[*2]
Verse one
Bwana ndiye mchungaji wangu,
sitapungukiwa kitu,
katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
kando ,kando ya maji matulivu huniongoza,
Hunihuisha nafsi yangu,
Huniongoza kwa njia za haki
[Chorus ]*2
Verse two
Nijapopita katika bonde la kivuli cha Mauti,
Sitaogopa mabaya maana wewe
U pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako ,Bwana vyanifariji,
Waandaa meza mbele yangu,
machoni pa watesi wangu,
[Chorus ]*2
Verse three
Nimezingirwa na kuta za Moto Mimi,
Adui arushapo mishale kamwe hatofaulu
Kila kinywa kizunguzacho,
Kinyume nami kinanyamazishwa,
Kamwe hakitofaulu
[Chorus]*2