E'Mungu mwenye kweli
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
E'Mungu mwenye kweli - Papi Clever & Dorcas
...
E’ mungu mwenye kweli nakuamini sana (maneno yako yote milele yatadumu.)*2
Niiti kati shida nitakusaidia (nategemea mwanga ahadi yako hiyo)*2.
Nakatika uchungu nikheri kuamini (naweka roho yangu kulindwa nawe Baba.)*2
Uliyenifundisha kuita jina lako (naona tumaini na tegemeo kwako.)*2
Ninavyoomba kweli najua wasikia (yaliyo mema kwangu najua wayafanya.)*2
Katika shida kali waweza kunilinda (wanichukua mimi na masumbuko yangu)*2
Similar Songs
More from Papi Clever & Dorcas
Listen to Papi Clever & Dorcas E'Mungu mwenye kweli MP3 song. E'Mungu mwenye kweli song from album Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 is released in 2023. The duration of song is 00:04:40. The song is sung by Papi Clever & Dorcas.
Related Tags: E'Mungu mwenye kweli, E'Mungu mwenye kweli song, E'Mungu mwenye kweli MP3 song, E'Mungu mwenye kweli MP3, download E'Mungu mwenye kweli song, E'Mungu mwenye kweli song, Mwokozi wetu (Nyimbo za wokovu) ALBUM 1 E'Mungu mwenye kweli song, E'Mungu mwenye kweli song by Papi Clever & Dorcas, E'Mungu mwenye kweli song download, download E'Mungu mwenye kweli MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
172491019
god bless you my friend nice song