I Miss You ft. Lady Jaydee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
I Miss You ft. Lady Jaydee - Barnaba Classic (TZ)
...
eyoo badman
mopao na lady jaydee komando
jagara nkwano aah nakupenda sina mfano
kwenye mabano penzi langu likiwemooo
mapenzi yako fimbooo
umenichapa upendavyo
kwenye mabano
Shika hamsini zakoo
Japo i miss you
Nini nitafanya
kukutuliza baba
maana nishazamaa
i miss you
kunavingine nimefanya maishani mwangu sijawah fanya
Ila kwako nilifanya
Mm kwako chuma cha kavu
Nisitir weww ubavu
Sijiwez mm mkavu
i hope you know that I love you
Mapenzi yangu ndio sababu
kumeza chips kavu na tomato kavu kavu
Nimechoka yako maovu
uyeyeyeye
eeeeeeh
Msamaha shiling ngapi
Hata vikombe kwenye kabati vinagongana sembuse sisi
Kukuacha sio rahisi
wewe koti la mkwezi ye
Sitaki nikukaliye
Usije niangukiye
Baba fanya unihurumie
Am happy to be alone
Nafurah kuwa mwenyewe
kuliko kuwa na wewe
Am strong commando jidee
am strong commando jidee
Am strong commando jidee
iiiiiiiiiiiiih
japo i miss you
Nini nitafanya kukutuliza baba
Maana nishazamaa
i want you to know that I miss you too
Nini nimefanya niehindwe pata msamaha
Tumetoka mbali Sana
Mimi chuma cha kavu
nisitir weww ubavu
sijiwez mm mkavu
i hope you know that I love
Mapenzi yangu ndio sababu
kunigeuza Chip's kavu na tomato kavu kavu
Listen to me baby baby
I see your shadal
Moyoni upo bado
let's go finally finally finally
I see your shadal
Moyoni upo bado
Let's go finally finally finally
iiiiiiiiiiiiih
waubavu mkavu
Prince wa kigoma