Nakuinua Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Nakuinua - Lady Bee254
...
Yeye yeye yee
Simba wa Yudah umeinuliwa aa
hakuna kama wewe
Eeh Eeeeh Eeeeh Nakuinua
Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Ulinifilia,Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Nakuinua Yesu Ulieniokoa ×2
Ni kwa neema yako Bwana ,mimi nimeokolewa, Asante kwa neema Yako,
eeh nashukuru, nigekua wapi kama si rehema zako, hazikomi kwamba mpya kila asubui, nigekua wapi kama si upendo wako,uliutoa uhai wako kwa ajili ya mimi nisiangamie
Chorus
Eeh Eeeeh Eeeeh Nakuinua
Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Ulinifilia,Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Nakuinua Yesu Ulieniokoa ×2
Usie Jua dhambi, ulifanyika dhambi
ili mimi nipate haki, laana ukazitoa,baraka nikapokea ,ahadi ya Roho kwa imani
nigekua wapi kama si rehema zako
hazikomi kwamba mpya kila asubui, nigekua wapi kama si upendo wako, uliutoa uhai wako kwa ajili ya mimi nisiangamie
Chorus
Eeh Eeeeh Eeeeh Nakuinua
Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Ulinifilia,Eeeeh Eeeeh Eeeeh Eeeeh
Nakuinua Yesu Ulieniokoa ×2