Kushanoga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kushanoga - Rich Mavoko
...
aya ....
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
Oya oh yao oh Oya oh
Oya oh yao oh Oya oh
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
Oya oh yao oh Oya oh
Oya oh yao oh Oya oh
siwezi kutoka bila wewe sheri
nishatinga na moka
Me nangoja nkuhite sheri
nina vitu vyako mama
changanya mwendo nimalize
leo ni tindolana wejua uko mbali wee
sisemi oh sisemi ilo nyomi me sisemi
atakama una deni we kuja me ndo mtemi
usinipate energy aha nikikosa na dedi
kwenye gari na begi ah sirudi kwa bed ah
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
Oya oh yao oh Oya oh
Oya oh yao oh Oya oh
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
Oya oh yao oh Oya oh
Oya oh yao oh Oya oh
tukifika leo atuketi lazima ucheze na mimi
kama unaagiza aje na greti
Mgodi ume tema madini
ivute Kona uko kwa nyuma
niko na wana tuna choma
me niuku tuna kula chuma
ini shindi nyama ilo nona
cheza una yumba yumba
fanya kama umelewa
wachanganye bila ndumba
waseme una ngekewa
usinipate energy ahh nikikosa na dedi ahh
kwenye gari na begi ah sirudi kwa bed ahh
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
Oya oh yao oh Oya oh
Oya oh yao oh Oya oh
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
kujeni kushanoga
twendeni kushanoga
Oya oh yao oh Oya oh
Oya oh yao oh Oya oh .......
...........................................................................
kushanoga by rich mavoko .......
Produc by. abby dady ......
lyrics By G.BoyOg3 .......
..................................................