Juzi Hosi ft. Tepla, Siq & SirBwoy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Juzi Hosi ft. Tepla, Siq & SirBwoy - Wakadinali
...
Juzi hosi tulifanya crime scene juzi hosi,
Juzi hosi,
Juzi hosi tulipeleka msee amenyambishiwa,
Juzi hosi, tulifanya crime scene,Juzi hosi, Yao...Yao..
Juzi hosi vijana wadosi ni vijana wabaya,
Juzi hosi, tulipeleka msee amenyambishiwa
Juzi hosi,
Mi na manzi yako, hatupatanangi Naroll vifreshy Munga aah,naroll kiplani..Aah..Aah..Aah.. Mwiki kasarani.. Waliniekea sukuma wiki kwa sahani,Shahandwa ghetto,Aah ..Labda gethoo...
Idhaa ya kudungwa,kanisani siko
Niliwapora na kimali nikaitupa huko voi.
Poor connections mtandao,Aah.Siwaoni siwaoni
Avoid me nitakupeleka hosi,hosi hosi,hosi, hosi
Aah sichaze ni jabba nazichonga kahaba unalamba,
Stoko inapigwa mchana, wakati safi Kaa umechat Huyo mama,
Ghetto sinkuna madrama,Inje ya kanisa ndio kunauzwa jaba kwa Korner Pedi anauza ndom kwa bahasha,Sii ndio Rong,SI hukimbiza mambanga, .Kshhh...pa paa Hiyo dagaa strictly mi
sibishani na makanga,Kunidis ni matanga unapanga
Naitwa butcherman mi huwates na mapanga
Nakulanga madwada Si tukiritit ki nini kinanyamba Harufu na sauti inafanya haulali
Nyi shindeni back,SI tunalearn kuzichapa...
Si biz ni biz,so usinishike ukinipata na Riz..Aah
Plus mi Si mwizi juu shingo vidole zimejazwa mabling
Juzi hosi tulipeleka msee amenyambishiwa
Juzi hosi tulifanya crime scene
Juzi hosi vijana wadosi ni vijana wabaya
Juzi hosi tulipeleka msee amenyambishiwa
Juzi hosi vijana wadosi ni vijana wabaya
Eeei eeei ...
Cold blood jungle toughas Rambo, lyrics toka kitambo
Nyi mna split nyi mna fumble mamwere kutoka kwa kitambo, Hii ni sweet tequila ya mango nakunywa hadi sidez za kiganjo
Pull up na vitz tulipull up na Prado
Vile tulikuwa true na mambo
Bling kwa shingo neck vidole ni mapetcore
Nikona mamorio wamechafua hadi madental
Way safe pauses kwa track tested
Negative track reckless eeh
Juzi hosi ....Juzi hosi....Munga....Juzi hosi
Juzi hauskii juu ya senke teketeke peleka msee amenyambishiwa na kcf Subaru ya mambaru mama luci hosi
Chafua scene nimeingia hosi dci ocs anadai more chai mablue matakes ma c .uuh...
Juu ya walenjevibenje kamenje tumeshinda trend
Buruburu stenje....uuuh...Cheki mamboto kwa macshot
papapapapa ...
Before u get shot commercial, commercial commercial...
Usipande nganya panda moshogi makanga ni wa ...ngumi nitakuwacha udum
Pale roysambo napia mahesabu za kuwanyita dogi sambu..tutu....Kaleshh nikall Arif ya kov....
Juzi hosi tulipeleka msee amenyambishiwa
Juzi hosi tulifanya crime scene...yo.yo...
Juzi hosi vijana wadosi ni vijana wabaya