Mi Amor Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Mi Amor - Whozu
...
mmmh
s2kizzy beiby
intro
nainua mikono mamaa
moyo wangu mweupeee
ishara ya mapenzii mamaa
too much money
ooh oo mi amor
verse 1
Baby sinzia kifuani fofofo
deka leo zamu yakooo
naipania kamia kiyako show
aah akuna kuomba poo
tunayofanya chumbani usiweke hadharani wakaona
kwako mimi abadani tena sishindani nimekoma
hook
usiniweke size ya kidum labda kwenye ndoo
mimi kwako kama mchungaji we ndio kondoo
(nikiku nikiku)
nikikuona nahisi raaha kaa mgonjwa napona
(aiii maama)
najideekeza najitambaa kwakoo
nikikuona nahisi raaha kaa mgonjwa napona
(aii maama)
najideekeza naji taamba kwako
chorus
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
verse 2
nitazame baby nishike shingoni
yako mipapaso maruhani
nikumbate unaponikiss mdomoni
nilichoonja kwako sikitemi
(ooh naa)
mie natamani leo mpaka kesho tusije gombana
toka zamani niko na wewe kufa kufaana
(ooh beiby)
hook
usiniweke size ya kidum labda kwenye ndoo
(aaaaaaaaaah)
mimi kwako kama mchungaji we ndio kondoo
(nikiku nikiku)
nikikuona nahisi raaha kaa mgonjwa napona
(aiii maama)
najideekeza najitambaa kwakoo
nikikuona nahisi raaha kaa mgonjwa napona
(aii maama)
najideekeza najitaamba kwako
chorus
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
mi amor mi amor
outro
nainua mikono mamaa
moyo wangu mweupeee
ishara ya mapenzii mamaa
woo oooh mi amor
The mix killer
kiddoh +254729518728