Fahamu ft. Jux Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Fahamu - Jimmy Chansa
...
Ooooh yeah,
No no no no, yeahhhh, mmh, mmh, mmh yeah
Sina kizunguzungu, mama you take me far away
Namshukuru Mungu kunikutanisha mi na we (yep)
Kuna wengi nimeona, vingi nimeongea
Ila we unachoma, kila ukisogea
Nami sioni sisikii kwa vile unavyonipa mama
Sababu nakupenda sana
Na vile ulivonipa jana niongezee
Tena sioni sisikii kwa vile unavyonipa mama
Sababu nakupenda sana
Na kile ulichonipa jana niongezee Mi nataka ufahamu, mimi kwako siwezi
Mi nataka ufahamu, navyokupenda
mamaa, nana
Mi nataka ufahamu, upendo
wangu jinsi ulivyo kwako mama
Mi nataka ufahamu, nataka, mimi
aah nataka
Mi nataka, twende nyumbani
Mi nataka, na kanisani
Mi nataka aaah wewe na mimi,
milele aah ×2
................
Baby girl, mi nishakuja kuku-pick Up
Tukale bata la maisha mimi na wewe
And I know you, mashoga zako wakutisha
Eti kudanga ndo maisha, acha nielewe
Twende bendi mwananjenje
Kimahaba we unichezee
Upande ushuke na unidekee mi mama
Tena sioni sisikii kwa vile unavyonipa mama
Sababu nakupenda sana
Na kile ulichonipa jana niongezee
Mi nataka ufahamu, we ndio wa ubani
Mi nataka ufahamu, na kwangu una thamani
Mi nataka ufahamu, tumeanza toka zamani
Mi nataka ufahamu, nataka, mimi aah nataka
Mi nataka, twende nyumbani
Mi nataka, na kanisani
Mi nataka aaah wewe na mimi, milele aah
Mi nataka, mama twende
nyumbani
Mi nataka, na kanisani
Mi nataka, aah aah wewe na mimi milele aah
.......................!