Hodari Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Hodari - Mbosso
...
Lalala lalalalala
Lalalala
Shombe Shombe
Mtoto laini laini anawaka Waka aaah
Wanga wape vidonge
Nimebaini baini wanatapa tapa aaaah
Mmh mi nawe mpaka kiama tuombee uzima
Waroge kwa kuchutama na wasimame wima
Kamwe watopata mwanya hadithi fitina
Wapike mabilingaya si tutoke dinner
Nalegea ukintazama yako macho yako macho
Nalegea ikigusana yangu na yako yangu na yako
Katoto hodari, hodari wa mapenzi
Jamani hodari, hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani hodari, hodari wa mapenzi
Utundu kitandani, hodari wa mapenzi
Katoto nyakanga kamzidi somo na kumbwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Nisakata makirikiri, kuniwasha ka pilipili
Fundi haswa amekidhili kunipa nilewe
Kwasa Kwasa ndani bingiri
Za kukata saga kachiri
Nani haswa unafikiri kama si wewe
Nichezeshe kidaruso usiku wa manane vanga
Nikande kipanda uso tufunikane kanga
Nipitishe boda la huko tukakutane tanga
Sie pini wao puto wasijachanganye watapasuka
Nalegea ukintazama yako macho yako macho
Nalegea ikigusana yangu na yako yangu na yako
Katoto hodari, hodari wa mapenzi
Jamani hodari, hodari wa mapenzi
Kiuno kunengua hodari, hodari wa mapenzi
Bidu kunibidua hodari, hodari wa mapenzi
Aiyo laizer
Wema Sepetu hodari, hodari wa mapenzi
Uwoya hodari, hodari wa mapenzi
Mama cookie hodari, hodari wa mapenzi
Mama Dangote hodari, hodari wa mapenzi
Jacky Wolper hodari ,hodari wa mapenzi
Zari mama Tiffah hodari, hodari wa mapenzi
Esma khan hodari, hodari wa mapenzi
Elizabeth Michael hodari, hodari wa mapenzi