Mimi Ni Wa Juu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mimi Ni Wa Juu - Joel Lwaga
...
kuna wakati wa giza
mbele sioni najiuliza,
mbona kama izi shiidaaa,
zimekawia kuisha,
katikati ya maswali,
nasikia sauti ndani,
imebeba ujasiri,ikinitaka nikiri,
nikisemaa
mimi ni wa juu ×3,juu saana,
mimi ni wa juu ×3,juu saana,
sitafsiriwi kwa haya,
machozi na magumu,
mimi ni mshindi tu,
kamusi ni ye mungu,
Haijarishi ni giza,yeye ni nuru yangu,
nitashinda kivita,na yote yatakwisha,
nitasimama tena,nitainuka tena,
mimi ni wa juu tu ×2
nitasimama tena, nitainuka tena ,
mimi ni wa juu tu ×2,
mimi ni wa juu ,ni wa juu sana,
mimi ni wa juu ,juu zaidi ya mawingu,
mimi ni wa juu ,juu saana,
juu saana, nimeketishwa juu saana,
mimi ni wa juu,kwenye milele juu,
mimi ni wa juu,nawaza yaliyo juu,
mimi ni wa juu, juu saaana,
eeeeeeeeeh!
nawaza yaliyo, juuuuuu,
nawaza yaliyo, juuuuuu,
nawaza yaliyo, juuuuuu,
juuuuuuh, saaaana,
nawaza yaliyo juuuuuu,
nawaza yaliyo juuuuuu,
nawaza yaliyo juuuuuu,
juuuuh sanaaa,
mimi ni wa juu ,ni wa juu saana,
mimi ni wa juu ,haijarishi mazingira
mimi ni wa juu ,haijarishi ninapitia nini,
juuuuu,saaaana,yote yatapita,
mimi ni wa juu, mimi nitashinda tu,
mimi ni wa juu,bwana juu saana,
eeeeeeeeh! juuu saaana,
eeeeeeeeeeh!
sitafsiriwi kwa haya,
machozi na magumu ,
mimi ni mshindi tu,kamusi ni ye mungu.
BY RIA P