Kibanda ft. Blinky Bill & Zzero Sufuri Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Kibanda ft. Blinky Bill & Zzero Sufuri - Octopizzo
...
check check check check check
Pizzodeh yaya its another one
(VERSE 1) OCTOPIZZO
kangeto taxi bana niko handas(niko)
nane ngori pizo man abadman(don)
zimo moshi rada za Nacada Maryjane pasi napenda huyo dada
Maryjane napenda wewe sana(penda)
Nipate pale java niko jaba(du)
Chini ya wes mamba kata waba we ni atis basi msupa chora saba (chora)
Pika soap nikicheki dabas (dabas)
Campus we ndio nangoja
Yeyeye pizzodeh king and you (you
know it)eee
Ngati mgola (ngati)
Tanasha Donna (wuu)
Pizzo ni don man(wuu)
Chorea conman
Toka Dodoma
Ati dangoti(ati)
Nabonya wote usiogope
CHORUS
Breko zangu zote kwa kibanda(breko)
Matime lunch pia kwa kibanda (Eii eii)
Bachelor supper kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda
Breko zangu zote kwa kibanda(breko)
Matime lunch pia kwa kibanda (Eii eii)
Bachelor supper kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda
(VERSE 2)
Sema bars zimestack up(stack up)
Msupa ameback up
Najua hamjui mi hujua hizi vitu
Najua hamjui mi huua hizi vitu(chilli)
Najua hamjui ntasumbua kila siku
Na teni hmm when they come with the realest
Ready and I say we gonna play
And if you really wanna know how we do this then let me tell you let me tell you one time(one time)
Leta sima leta mboga leta nyama one time (one time)
Alafu sasa jaza supu niwaoshe one time(one time)
Jina yangu usitaje ukidai kuja jakis (throat clears,jakis,kuja jakis)
Rada rada za kifala semi kweli mi sijui (mi sijui)
Kama doshi iko poa basi jua sibagui(skrr skrr)
Na warembo hatujui wamefunga buibui
Hapa kazi nimefunga nikukula kama chui(gang gang kama chui ganggang)
(CHORUS)
Breko zangu zote kwa kibanda(breko)
Matime lunch pia kwa kibanda (Eii eii)
Bachelor supper kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda
Breko zangu zote kwa kibanda(breko)
Matime lunch pia kwa kibanda (yo yo)
Bachelor supper kwa kibanda (zzero)
Wasupa daily wote kwa street (cheki) nawahanda (ee)
( VERSE 3)ZZERO
Mi hupiga biz ka ni sure(ka ni sure)
Niko juu ya maji ka mashua(ka mashua)
Na ka ni shadda mi hunyanyanga na mapure
Mi ni mkali zaidi ya pili hadi kalisi ananijua(shish)
No class bae napiga stiki(piga stiki)
Ikus si tamu ka iliki
Huski kajaba fika mbere kahakashiki
Nipate ju ya kandovu kejani harufu ni ya iliki(iliki)
Attractive inavutia mamatha
Ngoma huskii ni mbaya akalima mse utaipata(wewe)
Zzero manabadman shatta doshi miwachizisha ma yangu chuma wanaitaka(ganggang)
CHORUS
Breko zangu zote kwa kibanda(breko)
Matime lunch pia kwa kibanda (Eii eii)
Bachelor supper kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda
Breko zangu zote kwa kibanda(breko)
Matime lunch pia kwa kibanda (Eii eii)
Bachelor supper kwa kibanda
Wasupa daily wote kwa street nawahanda
(eightown)
Rada chafu rada chafu nikiguza wewewe
lyrics written and mastered by deticha (Kurster)