Nakuja ft. Marioo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
NAKUJA Lyrics
INTRO
Hehehe,
Mmmh,
Bad,
Mmmh
Oyeeeh !!!
CHORUS (Marioo)
Nakuja baby Nakuja, Allow me Baby nakuja
Nakuja baby Nakuja, Allow me allow me baby nakuja
Kama ajali mie Kwako Nyang’anyang’a
Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya
Nakuja baby Nakuja, Allow me Baby nakuja
Nakuja baby Nakuja, Allow me allow me baby nakuja
VERSE (Tommy Flavour)
Nikamate nikamate, nikamatie kamatie Usinibwage
Baby let me be Romantic, Hatujali we don’t mind them
Mmmh!!!
Navuta picha ulivyo teacher
Mambo Jorojoro
Mama, bonita , Murembo mororo
Nakuja baby Nakuja, Allow me Baby nakuja
Nakuja baby Nakuja, Allow me allow me baby nakuja
Pre- CHORUS (Tommy Flavour)
Kama ajali mie Kwako Nyang’anyang’a
Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya
Nakuja baby Nakuja, Allow me Baby nakuja
Nakuja baby Nakuja, Allow me allow me baby nakuja
BRIDGE (Marioo)
Ooooh Baby Njoo njoo njoo, “Kulosa” uwoooh wooh
Ooooh Baby Come come come “Kulosa”uwoooh wooh
BRIDGE (Tommy Flavour)
Kwani umeumbwa kwa udongo ama, Umefinyangwa kama
Dongo, baby kwani umenipiga zongo walah Uuuuuh
CHORUS
(Marioo)
Nakuja baby Nakuja, Allow me Baby nakuja
Nakuja baby Nakuja, Allow me allow me baby nakuja
(Tommy Flavour)
Kama ajali mie Kwako Nyang’anyang’a
Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya
Nakuja baby Nakuja, Allow me Baby nakuja
Nakuja baby Nakuja, Allow me allow me baby nakuja
OUTRO (Marioo)
Kama ajali mie Kwako Nyang’anyang’a
Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya
THE END