Terminator Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Terminator - Otile Brown
...
Mapenzi ya sikuizi sio Kama ya before.
Unaweza ekeza Lila kitu ulichonacho mwisho ukatoka
Zero
Sina muda wa kuzubaa
Sema ukweli wako
Maana maji yamezidii unga
Yamenifika kwako
Somebody tell me how to please
A woman
Somebody show me how to please a woman
That i go out of my way just to please a woman
Spend all my money just to please a woman
Yani ndo kisa niko club, kila siku ni masela na udaku
Nyumbani hapakaliki tabu,
Si mashataka kila siku nasomewa vitabu
Uuuuh yeah
Nieeeeeenda
Basi nieeenda
Japo talaka yako
Rudi kwa mama yako
Uuuuh yeah
Nieeeeeenda
Basi nieeenda
Japo talaka yako
Rudi kwa mama yako
Mmh (ooh) mmh (ooh)
Terminator
Ooooh (oh) terminator
Oh ter terminator
Mmh mmmh terminator