Koti Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Koti - Tukuyu Sound (KP)
...
Maginja logistics
Alinanuswe kabungo
I studio
This is Tukuyu Sound KP
Wahenga walisema ooh ushirika ni kama koti
Likikubana mwanangu wewe livuee tu
Mmh Kalala Junior
Nalivua koti Tukuyu Sound hii oooh
Nalivua koti kwa baba kabungooo
Nalivua koti kwa Kobe jalala
Nalivua mama kabungo mamaa aaah
Frank kamugishaaa
Papa Musofee
Ndama mutoto ya ng'ombe
Nashukuru nimeambulia kwani mwanaume ni kutafuta
Tukikutana tupeane hiii
Kweli mdharau kwao ni mtumwaa oooh
Junior
Binadamu acha roho mbayaaa
?
Thabit abdul
Isack
?
Tukuyu spring water
?